Mwanamke na mwanaume wanaofanya biashara ya Bitcoin kwenye simu zao. Mwanamke na mwanaume wanaofanya biashara ya Bitcoin kwenye simu zao.

Kuwa mchuuzi wa Bitcoin kwenye Paxful

Zalisha kipato kwa kuuza Bitcoin kwenye Paxful kwa kutumia njia zetu za malipo 350+

Kupitia Paxful, anzisha biashara yako mwenyewe ndani ya dakika chache. Unda ofa kwa Bitcoin yako, uweke kiwango cha faida, na ujenge uwezo wa kipekee wa kupata wateja ili kuongeza faida zako. Jiunge kama mchuuzi leo na uweke ofa yako ya kwanza.*

Nisajili!
 • Ikoni inayoonyesha vipengele vingi kwenye Paxful.

  Seti sahihi ya vipengele vya kusimamia biashara, ofa, na takwimu zako

 • Ikoni inayoonyesha idadi kubwa ya watumiaji wa Paxful.

  Zaidi ya watumiaji milioni 6 waliosajiliwa duniani kote

 • Ikoni inayoonyesha wachuuzi wengi waliosajiliwa kwenye Paxful.

  Inaaminiwa na wachuuzi zaidi ya 12,000 waliosajiliwa wa Bitcoin

 • Ikoni ya gumzo ikimaanisha usaidizi wa hali ya juu unaotolewa na Paxful.

  Usaidizi wa Kiwango cha Juu kwa uchuuzi rahisi kabisa

Dashibodi ya Paxful ya muuzaji inayoonyesha vipimo mbalimbali muhimu, maelezo ya biashara zinazoendelea na pia hali ya uthibitishaji ya muuzaji. Dashibodi ya Paxful ya muuzaji inayoonyesha vipimo mbalimbali muhimu, maelezo ya biashara zinazoendelea na pia hali ya uthibitishaji ya muuzaji.

Leta Bitcoin yako kwenye Paxful na uuze kwa faida

 • Njia za malipo 350+
 • Ada za muamala 0-2%
 • Usaidizi wa Watu Muhimu kwa wachuuzi wanaofanya bishara kwa kiwango kikubwa
 • Muhtasari wa miamala na mapato
 • Programu shirikishi ya kuingiza wachuuzi wapya na kukuza biashara yako

Chuuza kwenye Paxful na uanze biashara yako mwenyewe ya teknolojia ya fedha

Bei ya sasa ya Bitcoin: 
Mwanaume akionesha ofa ya uchuuzi ya Bitcoin anayoipenda kwenye skrini.

1. Unda au tafuta ofa

Unaweza kuvinjari au kuunda ofa kwa kununua na kuuza Bitcoin. Weka viwango vyako mwenyewe, tafuta mshirika wa biashara, na ufanye muama wako wa kwanza leo.

Mtu akichagua picha ya wasifu kwa ajili ya akaunti yake ya Paxful.

2. Jenga wasifu wako

Pata wanunuzi kwa kukamilisha uthibitisho, kuongeza picha ya wasifu, na kukusanya maoni mazuri. Kuwa na historia nzuri ya biashara kunaongeza sifa yako na kunakusaidia kuongeza uaminifu kwa wateja watarajiwa.

Mwanamume na mwanamke wakitabasamu na kushangilia biashara iliyofanikiwa waliyokamilisha kwenye Paxful.

3. Chuuza na upate faida

Nunua kwa bei ndogo, uza kwa bei ya juu. Huu ni msingi wa muundo wa biashara bora na tunakubali. Pata maelezo zaidi kuhusu changamoto za kuchuuza kwenye Paxful, kutoka kwenye kituo chetu cha usaidizi

Picha inayoonyesha programu ya Paxful kwenye simu ya mkononi iliyo na viungo vya kuipakua kwenye iOS na Android.

Pata habari, wakati wowote, popote

Usihofu kuhusu kukosa biashara unazotarajia, au jumbe kutoka kwa wateja. Paxful ni rahisi kutumia na inafanya kazi katika vifaa vyako vyote. Programu zetu za iOS na Android, zitahakikisha kwamba una maelezo kamili na uko tayari kwa kazi wakati wote.

Inaaminiwa na wachuuzi zaidi ya 12,000 waliosajiliwa wa Bitcoin

 • Picha ya avatar ya mtumiaji Kareninsf

  Kareninsf

  Paxful vendor - USA

  Paxful is a wonderful place to buy and sell Bitcoin! I started trading as a small hobby, but I'm now addicted to selling Bitcoin. I love how helpful and welcoming the Paxful community is. I also like that Paxful's dynamic support team is always available in a heartbeat if needed.

 • Picha ya avatar ya mtumiaji MaineBitcoin

  MaineBitcoin

  Paxful vendor - Maine, USA

  Being a paxful vendor has been great. Support is always responsive and helpful, and best of all I've been able to help many new Bitcoin users get some of their first Bitcoin. It's always rewarding to be the first on-ramp to the currency of the future.

Mtu akitambulisha na kuelezea mpango wa ushirika wa Paxful kwa rafiki yake. Mtu akitambulisha na kuelezea mpango wa ushirika wa Paxful kwa rafiki yake.

Pata pesa zaidi kwa Programu Shirikishi ya Paxful

Programu Shirikishi ya Paxful iliundwa ili kukusaidia kuongez faida kwa kuwakaribisha marafiki, wanafamilia na mtandao wako kwenye jukwaa letu.

Faida papo Hapo kwa Kila Uchuuzi:

 • 50% ya ada ya Kiwango chako cha 1
 • 10% ya ada ya Kiwango chako cha 2 inayolipwa na washirika wao
Angalia Zaidi

* Unaelewa na kukubali kwamba Paxful haitoi ushauri wa kisheria, kodi, au uwekezaji, na kwa kiwango unchoona umuhimu, utatafuta ushauri wa wataalamu waliobobea katika eneo lako kwenyewe kabla ya kutumia jukwaa la mtu kwa mtu la Paxful na kuwa mchuuzi. Tafadhali kumbuka kwamba utendaji uliopita si kiashirio cha utendaji ujao. Paxful haitoi uhakikisho wowote au ahadi zingine kuhusu utendaji wowote wa kifedha au matokeo yanayoweza kupatikana kwa kuwa mchuuzi wa Paxful na unaelewa na kukubali kwamba maamuzi yote ya kutumia jukwaa la mtu kwa mtu la Paxful ni yako pekee. Unaelewa na kukubali kwamba hatukubali wajibu wowote ule kwa, na hatutawajibika kwa namna au sababu yoyote kwako na kuhusiana na, maamuzi yako. Unaelewa na kukubali kwamba kwa namna yoyote utumiaji wa jukwaa la mtu kwa mtu la Paxful na kuwa mchuuzi hakutachukuliwa kama kuunda mahusiano yanayojumuisha utoaji au agano la ushauri wa uwekezaji.