Mpango wa Ushirika umesitishwa kwa muda tunapofanya mabadiliko ili kuunda mpango wa haki na endelevu kwa ajili ya jumuiya ya Paxful. Pata maelezo zaidi hapa.

Mshirika wa Paxful

Lipwa kwa Kuleta Watu kwenye Paxful

Programu yetu Shirikishi ya Bitcoin inakusaidia kuleta uhuru wa kifedha kwa jamii yako. Na kama nyongeza, unapata chanzo kizuri cha kipato pia.

Leta watu Paxful

Kipato cha haraka kwa Kila Uchuuzi

Unapata pesa kila wakati watu unaowaleta Paxful, na watu wanaowaalika, wanaponunua Bitcoin.

Kipato kwa Kila Uchuuzi

Unapata pesa kila wakati watu unaowaleta Paxful, na watu wanaowaalika, wanaponunua Bitcoin.

Pata 50% ya Ada ya Eskro Pata 50% ya Ada ya Eskro

Pale watu unaowaalika wanaponunua Bitcoin kwenye Paxful.

Pata 10% ya Ada ya Eskro Pata 10% ya Ada ya Eskro

Pale watu walioalikwa na rafiki zako wanaponunua Bitcoin kwenye Paxful.

Kwa nini Uwe Mshirika?

Programu Yetu Shirikishi ya Bitcoin ni njia nzuri ya kusambaza maelezo kuhusu sarafufichwa kwenye jamii yako.

Pochi ya BTC
Pata Bitcoin Pata Bitcoin

Unapata 50% ya ada ya eskro kila wakati mmoja wa washirika wako anaponunua Bitcoin.

Mtandao Unaokua
Kuza Mtandao Wako Kuza Mtandao Wako

Unapata 10% ya ada ya eskro kila wakati mtumiaji kutoka kwenye mtandao wako mpana anaponunua Bitcoin.

Badili kuwa pesa taslimu
Badili kuwa Pesa Wakati Wowote Badili kuwa Pesa Wakati Wowote

Mara unapokuwa umepata Bitcoin zenye thamani ya angalau USD 10, unaweza kubadili kuwa pesa ulichokipata kwenye pochi yako ya Paxful wakati wowote unaotaka.

Kuwa Mshirika

Inafanyaje Kazi?

Ni rahisi sana, kimsingi—kuwa Mshirika wa Bitcoin kwa hatua tatu za haraka.

Kuwa Mshirika
Mwalike Yeyote Mwalike Yeyote

Shiriki msimbo wako Shirikishi au kiungo kwenye mitandao ya kijamii, majukwaa ya sarafufichwa, au jamii. Unaweza kupata msimbo wako wa kipekee au kiungo chini ya Dashbodi yako ya Mshiriki (tovuti) au Kichupo cha Mshiriki (simu).

Kuwa Mshirika
Wafanye waanze Kuchuuza Wafanye waanze Kuchuuza

Waelimishe washirika wako kuhusu sarafufichwa na jinsi ya kuchuuza kwenye Paxful. Kila wakati wanaponunua Bitcoin, unapata 50% ya ada yao ya eskro. Pia utapata 10% ya ada yao ya eskro kila wakati moja ya washirika wao wanaponunua Bitcoin kwenye Paxful.

Kuwa Mshirika
Lipwa Lipwa

Fuatilia shughuli za washirika wako kutoka kwenye Dashbodi yako ya Mshiriki na utazame mapato yako yakiongezeka kiotomatiki. Pindi mapato yako yanapofikia angalau thamani ya USD 10, unaweza kuyabadili kuwa pesa kwenye pochi yako ya Paxful.

Kukuwezesha Kuanza
Inafurahisha sio? Inafurahisha sio? Ngoja Tukuwezeshe Kuanza!

Unda akaunti yako ya bila malipo kwenye Paxful na uanze kualika watu.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Washiriki

Labda una maswali machache. Hapa chini, tumejibu baadhi ya mswali yanayoulizwa zaidi.

Paxful ni nini?
Paxful ni soko la mwenzi kwa mwenzi linalokuwezesha kununua na kuuza sarafufichwa kwa kutumia moja kati ya machaguo zaidi ya 300. Ni kama eBay, lakini kwa pesa -- na haina kima chochote. Tuna watumiaji zaidi ya milioni 4.8 kutoka duniani kote. Biashara zote kwenye Paxful zinalindwa na huduma yetu ya eskro, ikimaanisha kwamba unaweza kufanya miamala kwa usalama ukijua kwamba fedha zako zimelindwa.
Ninaweza kuangalia wapi mapato yangu ya washirika?
Unaweza kutazama mapato yako kwenye dashbodi za mshirika na mchuuzi.
Je, ninaweza kuunda viungo shirikishi kwa makusudi ya ufuatiliaji?
Ndiyo. Kwenye Dashbodi yako ya Mshiriki, unaweza kuunda viungo vya kipekee vinavyoweza kufuatiliwa chini ya sehemu ya Kitambulisho cha Ufuatiliaji, ili kushiriki pamoja na washiriki wako wa sarafufichwa.
Kipi hakiruhusiwi?
Ili kuhakikisha kwamba sote tunaelewana sawa juu ya kipi kinaruhusiwa na kisichoruhusiwa, tumeorodhesha hapa chini baadhi ya vitendo unavyopaswa kuviepuka kama Mshirika.

  • Kuunda akaunti nyingi - unaruhusiwa kuwa na akaunti moja tu kwenye Paxful.
  • Kutumia vielekezaji (kupeleka mbele) kutoka kwenye tovuti yako kwenda kwenye tovuti ya Paxful.
  • Kujihusisha na vitendo vya ulaghai ili kupata washirika.
  • Kununua matangazo kwa maswali yenye chapa, kama vile: Paxful, paxful.com, au kandarasi zingine - ikijumuisha matoleo yenye makosa ya herufi.
  • Kutumia maswali yenye chapa za kampuni zingine washindani kwa ajili ya kutangaza chapa ya Paxful - pia kulinganisha Paxful na chapa zingine, kwa kuzionyesha kwa nia mbaya.
  • Kuchapisha taarifa zisizo sahihi ili kuvutia wateja zaidi, au kuwapotosha wateja kwa namna yoyote.
  • Kutoza ada mbali na kupata mapato yako ya Washirika kwenye Paxful.
Unataka kujua zaidi? Angalia Vigezo vya Huduma vya Programu Shirikishi.
Programu Shirikishi ya Paxful ni nini, na inafanyaje kazi?
Programu Shirikishi ya Paxful ni fursa nzuri kwako kutunukiwa kwa kushiriki Paxful na kila mmoja kwa rafiki zako. Kwa kweli ni rahisi sana-unaleta watu Paxful, na kupata sehemu ya ada yao ya eskro kila wakati wanaponunua sarafufichwa kwenye Paxful. Utapata 50% ya ada ya eskro* kwa watu unaowaleta Paxful, na 10% ya ada ya eskro* kwa watu wanaowaleta wao Paxful. Na hii siyo mara moja, ila ni kila wakati wanaponunua sarafufichwa kwenye Paxful. Unaweza kujenga mtandao wa sarafufichwa wa washiriki wako kwa urahisi pale unapoangazia kiungo chako shirikishi cha Paxful kwenye maudhui unayoyazalisha, kukishiriki kwenye mitandao ya kijamii, au kukitangaza kwenye tovuti yako.
Mpangilio wa asilimia ya faida ukoje kwa kila kiwango cha programu?
Unalipwa kila wakati mmoja wa washirika wako, au washirika wao wanapokamilisha uchuuzi wao kwenye Paxful. Kiasi utakachopokea kinakokotolewa kulingana na ada zetu za msingi za eskro, ambazo ni 1% ya kiasi kinachochuuzwa, isipokuwa pale ada ya eskro ni chini ya 1%. Ikiwa ada ya eskro iko chini ya 1%, ada ya ushirika inakokotolewa kulingana na ada yoyote ya eskro ya sasa. Mpangilio wa malipo ni kama ifuatavyo: Kiwango cha 1: Unapokea 50% ya ada ya msingi ya eskro pale mtumiaji anaponunua sarafufichwa. Kiwango cha 2: Unapokea 10% ya ada yetu ya msingi ya eskro pale mtumiaji anaponunua sarafufichwa.
Ni maudhui gani na vyanzo vipi vya matangazo vilivyo njia bora za kuvutia watu kwenye kiungo changu shirikishi?
Kuna vyanzo vingi tofauti ambavyo vinaweza kukusaidia, ikiwa ni pamoja na blogu yako, tovuti yako, Google AdWords, Yandex Direct, matangazo ya Yahoo/Bing, matangazo ya mitandao kwenye simu, YouTube na majukwaa mengine makubwa ya kifedha na burudani. Mitandao ya kijamii ni nyenzo nzuri pia ya kukusaidia kupata washiriki wa Bitcoin. Ni wazo zuri kutumia Vitambulisho vya ufuatiliaji kwa matangazo yote tofauti unayofanya, ili uweze kuona kinachokufaa na kujifunza kutokana na hilo.
Takwimu zinasasishwa kwenye Dashbodi yangu ya Washirika mara ngapi?
Takwimu zinasasishwa kila baada ya muda mchache kwenye Dashbodi yako ya Washirika. Kwa hivyo chochote unachokiona kwenye dashbodi kinapaswa kuonyesha mambo yalivyo kwa wakati huo.
Ni kwa nini baadhi ya washirika wangu wanafanya uchuuzi mwingi, huku wengine wamejisajili tu pasipo kufanya uchuuzi hata mmoja?
Watu wana mahitaji tofauti. Baadhi yao wanaweza kutaka kufanya manunuzi yao ya kwanza ya Bitcoin kwenye Paxful na kuzishikilia kwa miezi au hata miaka kadhaa, huku wengine wakiendelea kutumia jukwaa kununua na kuuza zaidi. Kiwango cha shughuli cha washirika wako kinaweza kutegemea aina ya maudhui unayounda ili kuwashirikisha na aina ya watu unaowalenga.
Ninalipwa wakati gani?
Mapato yako kutoka kwa washirika wako wa sarafufichwa yataongezwa kwenye pochi yako ya washirika mara tu baada ya washirika wako kukamilisha biashara. Mara utakapokusanya mapato ya washirika ya Bitcoin yenye thamani ya USD 10, unaweza kuzihamisha kwenda kwenye pochi yako ya Paxful wakati wowote unaotaka. Mata utakapopata Bitcoin zenye thamani ya USD 300, tutakuhitaji ukamilishe uthibitisho wa utambulisho na anwani. Kidokezo Kikuu: Unaweza kuuza mapato yako ya Bitcoin kwenye jukwaa letu kwa faida zaidi!
Ninaweza kupata wapi kiungo changu shirikishi?
Unaweza kupata kiungo chako shirikishi kwenye dashbodi za mshirika na mchuuzi.
Ninaweza kuangalia wapi Vitambulisho vyangu binafsi vya Ufuatiliaji?
Siku za usoni, utaweza kuangalia Vitambulisho vyako vya Ufuatiliaji kwenye dashbodi yako. Kaa chonjo!
Ni nchi gani ninapaswa kuifikiria ninapotafuta washiriki?
Paxful ni ya kimataifa na inaweza kutumiwa popote kwa kutumia intaneti. Kwa hivyo masoko unayotaka kuyalenga ni juu yako-ya mahali ulipo, eneo, taifa au mengine. Kwa sasa, wengi wa watumiaji wetu wanatoka Marekani, huku Afrika, Asia, na Marekani ya Latini ni masoko yetu yanayokua kwa kasi zaidi.
Je, ni viwango vingapi viko kwenye Programu Shirikishi ya Paxful, na vinafanyaje kazi?
Haujawekewa kikwazo cha kupata Bitcoin kwa washiriki kupitia washirika wako wa moja kwa moja pekee. Badala yake, kuna viwango viwili kwenye Programu Shirikishi ya Paxful -- moja ni ya moja kwa moja na nyingine ni isiyo ya moja kwa moja: Kiwango cha 1: Hawa ni washirika ambao wanajiunga moja kwa moja kupitia kwa kiungo chako. Kiwango cha 2: Hawa ni washirika ambao wanajiunga kupitia kwa viungo kutoka kwa mmoja wa washirika wako wa moja kwa moja.
Ikiwa mshirika wangu anachuuza na mshirika mwingine, bado ninaweza kupata asilimia kamili ya faida?
Ikiwa washirika wako wawili wa moja kwa moja wanachuuza baina yao wenyewe, basi utapokea 25% ya mapato ya jumla kwenye uchuuzi huo badala ya 50% ya kawaida.
Mtu niliyempendekezea Paxful, amejisajili bila kutumia kiungo changu. Ninaweza bado nikapata asilimia ya faida?
Kwa bahati mbaya, hapana. Mapato ya washirika yanawezekana tu kutoka kwa watumiaji ambao wanajiunga kupitia kwa kiungo chako shirikishi cha kipekee.
Nina kituo cha mitandao ya kijamii kinachohusiana na bitcoin, na watu wanaonifuatilia wana shauku ya kununua au kuuza bitcoin. Ninaweza nikawapendekezea Paxful kama njia ya kufanya hivyo?
Bila shaka! Paxful ni moja ya namna rahisi zaidi duniani kwa yeyote, popote kununua au kuuza Bitcoin. Washiriki wako wa sarafufichwa wanaweza kujiunga kwa kutumia kiungo shirikishi na kuanza kununua na kuuza Bitcoin ndani ya dakika chache! Kila wanaponunua kwenye Paxful, unapata kipato cha washirika.