Pata Sarafufichwa kupitia Paxful

Nunua na uuze sarafu za kidijitali kwa njia rahisi. Pata akaunti yako ya Paxful, anza kukubali malipo na upate pesa.

Zaidi ya njia 350 za kununua na kuuza Bitcoin

Chagua njia ya malipo unayoipenda na ufanye biashara moja kwa moja na watu wengine kama wewe!

Angalia Ofa Zote

Paxful katika vyombo vya habari

Paxful ni maarufu sana kwenye ulimwengu wa sarafufichwa na inashirikishwa kwa upana katika majarida mengi maarufu. Moja ya malengo yetu ni kujenga shule 100 Afrika. Tazama video hapa chini ili upate maelezo zaidi kuhusu mkakati wetu wa #builtwithbitcoin

Kuwa mchuuzi wa Bitcoin kwenye Paxful

Kuwa mchuuzi kwenye Paxful na uwape uwezo mamilioni ya watu duniani kote kupitia uhuru wa kifedha. Toa njia nyingi za malipo ambazo wanunuzi wanazipenda, tokomeza waunganishaji na tutakusaidia na nyenzo zote na mwongozo unaohitajika ili ufanikiwe.

12,000+

Ofa zinazoaminika

12,000+

Wachuuzi wanaoaminika

6,000,000+

Wateja wenye furaha

Kuwa mchuuzi

Ushuhuda

Mamilioni ya watu tayari wametumia Paxful na wamekuwa na mambo mengi mazuri ya kusema kutuhusu. Hapa unaweza kuona maoni ya watumiaji wetu kuhusu Paxful, kwa maneno yao wenyewe.

Kupitia Paxful unaweza

Kupandisha uhuru wako wa kifedha hadi kiwango cha juu zaidi kwa Paxful.

kununua Bitcoin mtandaoni

Kununua Bitcoin kwenye Paxful papo hapo. Chuuza na watumiaji wengine mtandaoni kwa kutumia gumzo letu la moja kwa moja.

Uza Bitcoin

Uza Bitcoin zako kwa bei uliyochagua, na ulipwe kupitia moja ya njia nyingi za malipo.

Chuuza kwa eskro salama

Bitcoin zako zimehifadhiwa kwenye eskro yetu salama hadi biashara itakapokamilishwa.

Jenga sifa yako

Mfumo wetu wa maoni ya mtumiaji unakuwezesha kutambua watumiaji wanaoaminika na wenye uzoefu unaoweza kufanya biashara nao.

Pata pochi bila malipo

Pata pochi ya Bitcoin bila malipo milele inayosimamiwa na BitGo, watoaji wanaoongoza wa pochi salama za Bitcoin.

Pata kipato cha ziada

Faidika na Programu yetu Shirikishi ili kutengeneza chanzo imara cha kipato.

Anza kuchuuza kwenye Paxful

Jisajili leo ili upate pochi yako ya kidijitali bila malipo. Unaweza kuanza kuuza na kununua Bitcoin papo hapo, bila usumbufu.

Fungua akaunti