Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Uzia

Lipwa kwa kutumia

js.rate_per_crypto.usdc

Jinsi ya Kuuza USDC kwenye Paxful

Paxful inafanya iwe rahisi kwa wachuuzi wanaoanza na wenye uzoefu kupata uhuru wa kifedha. Na kwa sababu sisi ni soko la mtu kwa mtu, unaweza kuuza USDC (USDC) moja kwa moja kwa mamilioni ya watumiaji duniani kote bila haja ya taasisi au mashirika ya kibenki!

Hivi ndiyo unavyopaswa kufanya:

Kabla ya kuanza kuuza USDC, unapaswa kwanza kufungua na kuthibitisha akaunti yako ya Paxful au kuingia kwenye akaunti uliyonayo kwa sasa. Mara utakapoingia, fuata hatua hizi:

  1. Weka vigezo vyako - Panga kiasi cha juu zaidi cha USDC unachotaka kuuza na uchague njia yako ya malipo. Unaweza pia kuweka sarafu unayoipendelea pamoja na eneo lako ikiwa utapenda.
  2. Tafuta ofa - Mara baada ya kuweka vigezo vyako, bofya Tafuta Ofa ili uone ofa mwafaka unazoweza kuchagua.
  3. Kagua ofa – Usisahau kukagua maelezo yote muhimu kuhusu mnunuzi wako ikiwa ni pamoja na kiwango cha kuthibitishwa, idadi ya biashara zilizofanywa na maoni kutoka kwa watumiaji wengine, kabla hujaendelea.
  4. Start the trade - If you find a reputable buyer, click Sell. to review the terms and conditions set by the buyer. If you agree, enter the amount of %1s you’re willing to trade and click Sell Now. This then brings you to a live trade chat and temporarily transfers your %1s to our secure escrow.
  5. Kamilisha biashara: Mara utakapopokea malipo na mnunuzi atakapokamilisha upande wake wa biashara, unaweza kuachilia USDC kutoka kwenye escrow hadi kwenye pochi yake. Pia utaweza kupakua risiti ya wazi ikiwa utahitaji kuweka rekodi ya muamala.
  6. Acha maoni - Usisahau kutuambia kuhusu uzoefu wako na mshirika wako wa biashara baada ya muamala kukamilika.

Angalia Hifadhi Yetu ya Maelezo ili upate maelezo zaidi kuhusu namna ya kuuza https://paxful.com/sw/list-crypto-buy-sell-ad mara moja. Unaweza pia kuunda ofa ikiwa unataka kuweka vigezo vyako mwenyewe au maelekezo ya biashara. Usisite kuwasiliana na timu yetu ya usaidizi ikiwa una swali lolote. Biashara njema!