Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Uzia

Lipwa kwa kutumia

Bei kwa kila Ethereum

Jinsi ya kuuza Ethereum kwenye Paxful

Paxful inafanya iwe rahisi kwa wachuuzi wanaoanza na wenye uzoefu kupata uhuru wa kifedha. Na kwa sababu ni soko la mtu kwa mtu, unaweza kuuza Ethereum (ETH) moja kwa moja kwa mamilioni ya watumiaji duniani kote bila haja ya taasisi au mashirika ya kibenki!

Hivi ndiyo unavyopaswa kufanya:

Kabla ya kuanza kuuza Ethereum, unapaswa kwanza kuunda na kuthibitisha akaunti yako ya Paxful au kuingia kwenye uliyonayo kwa sasa. Mara utakapoingia, fuata hatua hizi:

  1. Weka vigezo vyako - Panga kiasi cha juu zaidi cha ETH unachotaka kuuza na uchague njia ya malipo unayotaka. Unaweza pia kuweka sarafu unayoipendelea pamoja na eneo lako ikiwa utapenda.
  2. Tafuta ofa - Mara baada ya kuweka vigezo vyako, bofya Tafuta Ofa ili uone ofa mwafaka unazoweza kuchagua.
  3. Kagua ofa – Usisahau kukagua maelezo yote muhimu kuhusu mnunuzi wako ikiwa ni pamoja na kiwango cha kuthibitishwa, idadi ya biashara zilizofanywa na maoni kutoka kwa watumiaji wengine, kabla hujaendelea.
  4. Anza biashara - Ukipata muuzaji mwenye sifa nzuri, bofya Uza, ili upitie vigezo na masharti yaliyowekwa na mnunuzi. Ikiwa unakubali, weka kiasi cha ETH unachotaka kuchuuza na ubofye Uza Sasa. Hii itakuleta kwenye gumzo la moja kwa moja na kutuma ETH zako kwa muda mfupi hadi kwenye eskro yetu salama.
  5. Kamilisha biashara: Mara utakapopokea malipo na mnunuzi atakapokamilisha upande wao wa biashara, unaweza kuachilia ETH kutoka kwenye eskro hadi kwenye pochi yake. Pia utaweza kupakua risiti ya wazi ikiwa utahitaji kuweka rekodi ya muamala.
  6. Acha maoni - Usisahau kutuambia kuhusu uzoefu wako na mshirika wako wa biashara baada ya muamala kukamilika.

Angalia Hifadhi Yetu ya Maelezo ili upate maelezo zaidi kuhusu namna ya kuuza ETH kwa haraka. Unaweza pia kuunda ofa ikiwa unataka kuweka vigezo vyako mwenyewe au maelekezo ya biashara. Usisite kuwasiliana na timu yetu ya usaidizi ikiwa una swali lolote. Furahia Uchuuzi!