Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Uzia

Lipwa kwa kutumia

Bei kwa kila Bitcoin

Jinsi ya Kuuza Bitcoin kwenye Paxful

Sasa ni rahisi kuuza Bitcoin kama mchuuzi wa Paxful. Una uhuru wa kuweka viwango vyako mwenyewe, na uwezo wa zaidi ya chaguo 300 ya njia za malipo za kulipwa kwa Bitcoin unazouza. Kutokana na kuwa Paxful ni soko la mtu kwa mtu, unaweza kuuza Bitcoin zako moja kwa moja kwa zaidi ya watumiaji milioni 3 duniani kote. Jukwaa letu linafanya iwe rahisi sana kwa wachuuzi wanaoanza na wazoefu wote kupata faida.

Ili kuuza Bitcoin kwa haraka, unda akaunti ya Paxful au uingie kwenye akaunti yako iliyopo. Ukishaingia, fuata hatua zifuatazo:

  1. Weka masharti yako – Chagua njia yako ya malipo unayopendelea na kiasi cha juu cha Bitcoin ulizo tayari kuuza. Unaweza pia kuonyesha eneo lako na sarafu yako unayopendelea. Utakapomaliza, bonyeza Tafuta Ofa. Utaona orodha ya ofa stahiki ambazo unaweza kuchagua.
  2. Kagua ofa – Kabla ya kuchagua ofa, hakikisha unakagua maelezo yote muhimu kuhusu mnunuzi, ikijumuisha pasipo ukomo jina lake, sifa, kiwango cha kuthibitishwa, na kiwango kwa Bitcoin. Utakapopata ofa stahiki, bofya Uza. Haitafungua biashara, lakini itakuongoza hadi kwenye vigezo na masharti ya ofa yaliyowekwa na mnunuzi.
  3. Anza uchuuzi – Ikiwa umeridhishwa na vigezo vya mchuuzi, weka kiasi unachotaka kuchuuza na ubofye Uza Sasa. Hii itafungua gumzo la moja kwa moja la biashara na kuhamisha Bitcoin zako kwenda kwenye eskro salama. Soma maelekezo yaliyotolewa kwa uangalifu, na uyafuate. Mara baada ya muuzaji wako kukamilisha upande wake wa biashara na wewe kupokea malipo, unaweza kuachilia Bitcoin. Unaweza kupakua risiti iliyo wazi kwa umma baada ya biashara.
  4. Acha Maoni – Bada ya kuuza Bitcoin, usisahau kutoa maoni kwa mshirika wako wa biashara. Hii ni muhimu kwa mfumo wetu maana inasaidia kujenga sifa ya mtumiaji.

Kwa maelezo zaidi, tazama video yetu ya mafunzo juu ya namna ya kuuza Bitcoin kwa haraka. Unaweza pia kuunda ofa kuuza Bitcoin kwa kufuata mwongozo wetu wa kuunda ofa kwenye Paxful.

Soko la Paxful la mtu kwa mtu ni rahisi kutumia, linalindwa na eskro, na linaweza kufikiwa duniani kote. Anza kuchuuza sasa!