programu ya mwenzi ya paxful

Programu ya Mwenzi ya Paxful

Kuza Jamii yako na Upate Bitcoin

Lengo la Paxful ni uhuru wa kifedha kwa watu wote, na Programu yetu ya Mwenzi ni chombo chako cha kuwezesha hili kutokea. Jiunge nasi, utambulishe sarafufichwa kwa watu walio karibu nawe, na upate BTC zenye thamani ya hadi USD 2000 au zaidi kupitia kwa mtandao wako.

Mwamshe Mjasiriamali aliye Ndani Yako

Kuleta watu Paxful ni rahisi na kunafurahisha. Angalia zawadi hizi unazoweza kupata pale unaposaidia kuipeleka sarafufichwa kwenye jamii yako:

programu ya mwenzi ya paxful
MWENZI
Leta watumiaji wapya 7
programu ya mwenzi ya paxful
BALOZI
Leta watumiaji wapya 20
programu ya mwenzi ya paxful
MSHIRIKA
Leta watumiaji wapya 100
Pata USD 5 katika BTC Kwa Kila Mshiriki
Mapato ya Washirika
Usaidizi wenye Kipaumbele
Beji kwenye Wasifu Wako
Zawadi za Mara kwa Mara
Matangazo ya Ofa Zilizoangaziwa
Ongeza Kiwango cha Watu Wanaokufuata
Biashara Yenye Chapa ya Paxful
Meneja Mahususi wa Akaunti
Jaribu Kwanza Vipengele & Bidhaa Mpya
Pata USD 150 katika BTC Kila Mwezi

Ninawezaje Kuwa Mwenzi?

Wasilisha ombi, tutalipitia, na kama kila kitu kiko sawa, utakuwa umeingia kwenye programu!

programu ya mwenzi ya paxful

Kuwa Sehemu ya Familia

Watumiaji wetu wanatoka duniani kote na nyanja mbalimbali za maisha.

Ungana Nasi kwenye Twitter na Instagram!