Nenda na Paxful kokote kupitia programu yetu ya simu

Tuma, pokea na uchuuze Bitcoin popote unapokwenda kwa programu ya pochi ya simu ya Paxful. Chukua udhibiti kamili wa BTC zako na ufuatilie uchuuzi wako wakati wowote.

Skani Msimbo wa QR au upakue kutoka kwenye app store:

content-illustration content-illustration
content-illustration

Vipengele

  • Tuma na upokee Bitcoin kwenye pochi yako ya faragha ya sarafufichwa
  • Fuatilia biashara zako zilizo wazi kwenye Paxful ili uweze kujua hali ya wakati huo ya mauziano ya hivi karibuni unaponunua na kuuza Bitcoin
  • Pangilia wasifu wa Pochi yako ya Paxful ili watu unaofanya nao mauziano wafahamu kuwa ni wewe
  • Hifadhi kwa usalama mapato yako ya Bitcoin na uangalie salio lako wakati wowote
  • Shiriki anwani ya pochi yako ya Bitcoin au msimbo wa QR na wachuuzi wengine na marafiki
  • Pata masasisho ya viwango vya ubadilishaji wa Bitcoin kuwa sarafu kwa urahisi
  • Pokea arifa za msukumo kuhusu uchuuzi na ofa zako
  • Umeshindwa kufikia Google Play? Bofya hapa ili upate maelezo zaidi kuhusu kuifikia