Je, tunaweza kuwa marafiki?

Jiunge na jamii ya Paxful

Tuungane kwenye mitandao ya kijamii na tutakuarifu kuhusu kinachoendelea kwenye Paxful na ulimwengu wa sarafufichwa. Hapa ndipo utakapopata akaunti zetu rasmi za mitandao ya kijamii´╝Źna tutasasisha ukurasa huu kwa kutumia akaunti mpya tutakazoongeza pia.

akaunti za mitandao ya kijamii za Paxful

Tuungane!

Ungana na akaunti iliyo hapa chini, au zote!

akaunti za mitandao ya kijamii za Paxful

Tupige gumzo kwenye Telegram

Tumeunda chaneli maalum za Telegram kwa kila nchi tuliyoifikia. Ungana nasi kwenye Telegram ili upige gumzo pamoja nasi kuhusu mawazo yako juu ya Paxful na wapenzi wengine wa sarafufichwa katika jamii yako.

Semina za Mtandaoni za Paxful

Je, unataka kupata vipengele vya hivi karibuni kuhusu Paxful na mienendo iliyosasishwa katika ulimwengu wa sarafufichwa? Semina zetu za mtandaoni ni chanzo cha utajiri wa maarifa unayoweza kuchambua.

akaunti za mitandao ya kijamii za Paxful