Inayoridhisha pande zote

Kitu muhimu zaidi kukumbuka ni kuridhisha pande zote. Tunataka kuhakikisha kwamba utafurahia kazi unayoomba na hivyo, ni vizuri kutathmini mwenyewe iwapo au kama hapa si mahali panapokufaa.

1

Wasilisha maombi

Kitu muhimu zaidi kukumbuka ni kuridhisha pande zote. Tunataka kuhakikisha kwamba utafurahia kazi unayoomba na hivyo, ni vizuri kutathmini mwenyewe iwapo au kama hapa si mahali panapokufaa.

2

Tupige gumzo

Tutakupigia simu. Hii ni nafasi yako ya kutuonyesha unachokifahamu na kukipenda

3

Mahojiaono ya mwanzo

Tuambie jinsi ujuzi na uwezo wako vinaweza kuchangia kwenye lengo kuu la kampuni yetu.

4

Mtihani wa uteuzi wa kazi

Ni muda wa kutuonyesha kile unachoweza kufanya.

5

Mahojiano ya pili

Utakutana na wenzako na viongozi ili kukamilisha mlingano.

6

Ofa na mkataba

Karibu kwenye familia ya Paxful!

7