Paxful in Russia

We're committed to growing global financial inclusion by making cryptocurrency trading easy, fair and safe. Due to international restrictions on certain geographies, government bodies, businesses or persons by which Paxful must abide, we're not always able to offer Paxful's popular platform in every region. At the moment, Paxful does not serve users in Russia. There are no individual exceptions being made, nor is a timeline available for the reversal of this decision.

Wekeza kwenye Bitcoin kwa njia rahisi na salama. Paxful ni sehemu bora ya kununua, kuuza na kutuma Bitcoin yenye zaidi ya njia 300 za kulipia Bitcoin ikiwa ni pamoja na utumaji fedha kwa njia ya benki, kadi za zawadi, Paypal, Western Union, Moneygram, kadi zako za malipo/mkopo na nyingine nyingi zaidi!

Paxful ni nini?

Paxful ni soko la mtu kwa mtu linalowaunganisha wanunuzi na wauzaji. Chagua jinsi unavyotaka kulipa na uandike kiasi cha Bitcoin unachohitaji.

Lengo letu ni kuwapa watu wanaofanya kazi jukwaa rahisi na salama la kuchuuza thamani ya kazi yao. Mara nyingi matatizo yetu makubwa yanahusiana na pesa, kuzipata na kuzisafirisha. Tumejitolea kufungua nguvu ya watu kwa kujenga jukwaa la kimataifa la siku zijazo linalowezesha malipo ya mtu kwa mtu. Paxful ni PayPal + Uber na Soko la hisa la watu la Wall Street.