Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Nunua kutoka

Lipa kwa

js.rate_per_crypto.usdc

Jinsi ya kununua USD Coin kwenye Paxful

Paxful inadhamiria kuleta ujumuisho wa kifedha kwa mamilioni ya watu ambao hawajafikiwa na huduma za benki duniani kote. Tunafanya iwe rahisi na salama kubadilisha pesa zako au sarafufichwa nyingine kwa USD Coin (USDC) na uzitumie pale unapozihitaji zaidi, kuanzia kwa kufanya manunuzi ya kila siku hadi uwekezaji wa kukisia.

Soko letu linalowezeshwa na watu linakuwezesha kununua USD Coin moja kwa moja kutoka kwa watumiaji duniani kote bila benki au wapatanishi wengine wanaohusishwa. Hivi ndivyo unaweza kununua USDC mara moja:

  1. Sajili akaunti – Fungua akaunti ili upate pochi ya kidijitali bila malipo ambapo unaweza kuhifadhi USDC zako kwa njia salama.
  2. Tafuta ofa –Chagua njia ya malipo unayopendelea, weka kiasi utakachotumia katika sarafu yoyote, na ubofye kitufe cha Tafuta Ofa. Kagua kwa uangalifu vigezo vya kila ofa na ukague wasifu wa muuzaji. Kagua viwango vyao, upatikanaji, na maoni kutoka kwenye biashara za awali.
  3. Anza kuchuuza – Ikiwa unakubaliana na masharti ya muuzaji, weka kiasi unachotaka kutumia na uanze biashara. Hii itafungua gumzo la moja kwa moja ambapo muuzaji atakupatia maelekezo ya kina. Fuata maelekezo yake kwa umakini na usisite kuuliza maswali yoyote.
  4. Receive %1s – After you send the payment and mark the trade as paid, give the seller a few moments to verify the transaction. They’ll then release the %1s directly into your Paxful wallet.
  5. Acha maoni – Tuambie sisi na watumiaji wengine kuhusu uzoefu wako na mshirika wako wa biashara. Hii ni muhimu katika kulifanya jukwaa letu kuwa salama kwa kila mmoja.

Angalia jinsi ilivyo salama, haraka, na rahisi kununua https://paxful.com/support/en-us kutoka Paxful? Kupitia njia za malipo zaidi ya 300 unazoweza kuchagua, kuchuuza sarafufichwa sasa ni rahisi sana. Tembelea Hifadhi yetu ya Maelezo au uwasiliane na timu yetu ya usaidizi kwa maelezo zaidi.

Kupitia zaidi ya njia 300 za kulipa zinazojumuisha pesa taslimu, uhamisho wa benki na kadi za zawadi, kununua https://paxful.com/support/en-us sasa ni rahisi mno. Je, huoni njia ya malipo unayopendelea? Tuarifu na tutajaribu kuiongeza kwenye jukwaa letu. Kwa maelezo zaidi, angalia Hifadhi yetu ya Maelezo au uwasiliane na timu yetu ya usaidizi.