Linda pesa zako dhidi ya Naira inayoshuka thamani na uweke sarafu zako kwa njia salama katika Bitcoin. Nunua Bitcoin kupitia njia yoyote ya malipo ikiwa ni pamoja na Kadi za Zawadi za Amazon, Kadi za Zawadi za iTunes na utumaji fedha kwa Benki!
Zaidi ya Bitcoin 1000 zimeshauzwa nchini Nigeria!
Tazama mafunzo yetu ya mwongozo ya jinsi ya kununua Bitcoin kwa urahisi
Chagua kutoka kwa njia kuu za malipo za Nigeria, au utafute njia nyingine ya malipo kutoka kati ya njia bora zaidi zilizo hapa chini.
Paxful ni soko la mtu kwa mtu linalowaunganisha wanunuzi na wauzaji. Chagua jinsi unavyotaka kulipia na uandike kiasi cha Bitcoin unachohitaji.
Lengo letu ni kuwapa watu wanaofanya kazi jukwaa rahisi na salama la kuchuuza thamani ya kazi yao. Mara nyingi matatizo yetu makubwa yanahusiana na pesa, kuzipata na kuzisafirisha. Tumejitolea kufungua nguvu ya watu kwa kujenga jukwaa la kimataifa la siku zijazo linalowezesha malipo ya mtu kwa mtu. Paxful ni PayPal + Uber na Soko la hisa la watu la Wall Street.
Wasaidie Wanigeria kupata Bitcoin na unaweza kupata faida KUBWA hadi 60% kwa kila mauzo. Anza kuuza na kwa akaunti yako ya benki ya Nigeria sasa, angalia mwongozo wetu bila malipo. Paxful hupata maelfu ya wanunuzi wa Bitcoin kutoka Nigeria kila siku.
Unfahamu watu wengi ambao wanataka kununua Bitcoin nchini Nigeria? Kupitia Kioski chako cha Bitcoin na programu Shirikishi unapata 2%kwa kila biashara wakati wote kwa kushiriki kiungo. Anza sasa.
Bitcoin ni mali ya kidijitali na njia ya malipo. Paxful inaifanya iwe rahisi kubadili kadi zako za zawadi kwenda kwenye Bitcoin na kutoka kwenye Bitcoin. Bitcoin imekuwa mali yenye thamani katika ulimwengu wetu wa kidijitali. Unaweza kuifikiria kama aina ya dhahabu ya mtandaoni. Kama dhahabu, Bei ya Bitcoin imekuwa ikibadilika na inatarajiwa kuwa bei ya Bitcoin itaendelea kupanda, hasa katika nyakati ambapo uchumi unakuwa dhaifu.
Baada ya kupokea Bitcoin unaweza kufanya lolote utakalo. Una chaguo la kuzishikilia kwenye pochi yako ya Paxful, kuuza Bitcoin ili upate Dola za Kimarekani au sarafu nyingine yeyote. Unaweza pia kutuma Bitcoin yako hadi kwenye pochi nyingine yoyote ya Bitcoin.
Ili uone orodha kubwa ya wachuuzi wanaokubali Bitcoin, nenda kwenye https://spendabit.co/merchants.
Soko jipya la Bitcoin linalenga Nigeria
http://www.itwebafrica.com/home-page/e-commerce/700-nigeria/237389-new-bitcoin-marketplace-focuses-on-nigeria
Kununua na kuuza Bitcoin kumefanywa rahisi na Paxful
http://www.newsbtc.com/2016/09/21/buying-and-selling-bitcoins-made-easy-by-paxful/