Nunua na Uuze Bitcoin (BTC) nchini Uchina

Wekeza kwenye Bitcoin kwa urahisi na usalama. Paxful ni sehemu bora ya kununua, kuuza na kutuma Bitcoin kwa zaidi ya njia 300 za kulipia Bitcoin ikijumuisha utumaji fedha kwa njia ya benki na WeChat Pay!

Soma Zaidi

Nunua Bitcoin sasa

Badili kwenda lugha ya Kichina (简体中文(SC))

Nunua Bitcoin kwa

 • Hawala ya Benki
 • WeChat Pay
  Bei nzuri zaidi—Kitambulisho kinaweza kuhitajika
 • PayPal
  Papo hapo—Kitambulisho kinahitajika
 • Payoneer
  Papo hapo—Kitambulisho kinaweza kuhitajika
 • Litecoin LTC

1. Chagua njia ya kulipia kutoka upande wa kushoto

Chagua kutoka kwa njia kuu za malipo za China, au utafute njia nyingine ya kulipia kutoka kati ya njia bora zaidi zilizo hapa chini.

2. Weka kiasi cha kutuma

2,000,000+
Pochi za Paxful
6,000,000+
Wateja wenye furaha
12,000+
Ofa zinazoaminika

Unaweza kununua Bitcoin kwa njia mbalimbali

Paxful ni nini?

Paxful ni soko la mtu kwa mtu linalowaunganisha wanunuzi na wauzaji. Chagua jinsi unavyotaka kulipa na uandike kiasi cha Bitcoin unachohitaji.

Lengo letu ni kuwapa watu wanaofanya kazi jukwaa rahisi na salama la kuchuuza thamani ya kazi yao. Mara nyingi matatizo yetu makubwa yanahusiana na pesa, kuzipata na kuzisafirisha. Tumejitolea kufungua nguvu ya watu kwa kujenga jukwaa la kimataifa la siku zijazo linalowezesha malipo ya mtu kwa mtu. Paxful ni PayPal + Uber na Soko la hisa la watu la Wall Street.

Je, ninaweza kuuza Bitcoin kwenye Paxful?

Wasaidie Wachina kupata Bitcoin na unaweza kupata faida KUBWA hadi 60% kwa kila mauzo. Anza kuuza kwa akaunti zako za WeChat Pay au akaunti ya Benki ya Kichina sasa! Angalia mwongozo wetu bila malipo. Paxful hupata maelfu ya wanunuzi wa Bitcoin kutoka Uchina kila siku.

Fungua akaunti na uanze kuuza

Pata Mapato ya Ziada

Unafahamu watu wengi wanaotaka kununua Bitcoin nchini Uchina? Kupitia Kioski chako cha Bitcoin na Programu ya mshirika unapata 2% kwa kila uchuuzi siku zote kwa kushiriki tu kiungo. Anza sasa.

Kwa nini Bitcoin?

Bitcoin ni mali ya kidijitali na njia ya malipo. Paxful inaifanya iwe rahisi kununua na kuuza Bitcoin kwa WeChat Pay, utumaji fedha kwa njia ya benki pamoja na kadi za zawadi. Bitcoin imekuwa mali yenye thamani katika ulimwengu wetu wa kidijitali. Unaweza kuifikiria kama aina ya dhahabu ya mtandaoni. Kama dhahabu, Bei ya Bitcoin imekuwa ikibadilika na inatarajiwa kuwa bei ya Bitcoin itaendelea kupanda, hasa katika nyakati ambapo uchumi unakuwa dhaifu.

Baada ya kupokea Bitcoin unaweza kufanya lolote utakalo. Una chaguo la kuzishikilia kwenye pochi yako ya Paxful, kuuza Bitcoin ili upate Dola za Kimarekani au sarafu nyingine yeyote. Unaweza pia kutuma Bitcoin yako hadi kwenye pochi nyingine yoyote ya Bitcoin.

Ninaweza kutumia Bitcoin wapi?

Ili uone orodha kubwa ya wachuuzi wanaokubali Bitcoin, nenda kwenye https://spendabit.co/merchants.

Tumia Bitcoin jinsi upendavyo

Bitcoin katika habariBiashara kubwa zinazokubali Bitcoin