Nunua kutoka
Lipa kwa
Bei kwa kila Bitcoin
Jinsi ya Kununua Bitcoin kwa kutumia Revolut
Revolut inatumiwa na zaidi ya wateja milioni 2 na inatoa huduma tofauti za benki, ikiwa ni pamoja na uhamishaji wa pesa kimataifa na malipo ya mtu kwa mtu. Sasa, unaweza kutumia Revolut kununua Bitcoin kwenye Paxful bila ada zozote za ziada. Hivi ndivyo unavyoweza kufanya:
Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako ya Paxful au kuunda akaunti mpya kwa kubofya kitufe cha Fungua akaunti. Baada ya kukamilisha mchakato wa uthibitisho wa akaunti, bofya kitufe cha Nunua Bitcoin weka Revolut kama njia yako unayoipendelea ya malipo ili kuangalia ofa zinazofaa. Ofa bora inatoka kwa wachuuzi wenye sifa nzuri na namna mojawapo ya kuwapata ni kukagua wasifu wa muuzaji mwenye maoni mengi chanya. Bofya jina la mchuuzi ili kuona historia yake ya uchuuzi na maoni kutoka kwa washirika wake wa biashara.
Mara utakapopata ofa unayoipenda kutoka kwa mchuuzi anayeaminika, bofya kitufe cha Nunua ili kuangalia masharti yake ya uchuuzi. Soma masharti ya uchuuzi kwa makini na uyafuate yote. Bofya kitufe cha "Kubali Vigezo na Nunua Bitcoin Sasa!" ikiwa umekubaliana na vigezo vya ofa. Kisanduku cha gumzo ya moja kwa moja kitatokea ambapo unaweza kuwasiliana na muuzaji na kumuuliza kama ana mahitaji mengine.
Kumbuka kwamba Paxful inatumia mfumo wa eskro kuzifungia BTC za muuzaji pindi uchuuzi unapoanza - ili pesa zako ziwe salama.
Once you send the payment to the seller’s Revolut account, click Mark as Paid so that the seller can release the BTC from escrow. That’s it! You’ve successfully bought Bitcoin using your Revolut account.