Nunua Bitcoin (BTC) kwa Dhahabu

Paxful inarahisisha na kuhakikisha usalama wako unaponunua na kushikilia sarafu dijitali. Tafuta ofa bora zaidi hapa chini na ununue sarafu dijitali kwa kutumia Dhahabu today.

Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Nunua Kutoka

Lipa Kwa

Kiwango kwa kila Bitcoin

Jinsi ya Kununua Bitcoin kwenye Paxful

Hapa Paxful, lengo letu ni kuhakikisha kuwa huduma za kifedha zinafikiwa na mamilioni ya watu duniani kote. Tunataka kuwapa watu fursa ya kutumia pesa popote wanapoona inafaa na kuboresha kwa kiwango kikubwa maisha yao ya kila siku.

Jukwaa letu linafanya kazi kwa kanuni ya fedha ya mtu kwa mtu, ambayo inakuwezesha kununua Bitcoin moja kwa moja kutoka kwa watumiaji wengine kama wewe, bila kuhusisha mabenki au mashirika. Utakuwa sehemu ya jamii inayoundwa na watumiaji zaidi ya milioni tatu, ambao wote wamekuja kwetu kwa lengo la kuongeza udhibiti wa fedha zao.

Kununua sarafufichwa kwenye Paxful ni rahisi; fuata tu hatua zifuatazo:

  1. Jisajili – Fungua akaunti na utapata kiotomatiki pochi yako ya Bitcoin bila malipo.
  2. Tafuta ofa – Mara utakapokuwa na akaunti, chagua muundo wa malipo, kiasi cha Bitcoin ulicho tayari kununua na sarafu yako unayopendelea, na ubofye Tafuta Ofa. Pitia orodha ya ofa zinazopatikana, chagua ile inayoendana na masharti yako, na ukague vigezo vya muuzaji.
  3. Anza Biashara –Ikiwa umeridhishwa na vigezo vya muuzaji, weka kiasi cha Bitcoin unazotaka kununua, na uanze biashara. Hii itafungua gumzo la moja kwa moja na muuzaji. Fuata maelekezo ya muuzaji ili utume na uthibitishe malipo.
  4. Pokea Bitcoin – Muuzaji ataachilia Bitcoin moja kwa moja hadi kwenye pochi yako ya Paxful.

Pia unaweza kuangalia mwongozo wetu wa video wenye maelezo ya kina juu ya namna ya kununua Bitcoin kwa haraka.

Baada ya kukamilisha biashara, unaweza kutuma au kutumia Bitcoin kwa pochi au huduma yoyote moja kwa moja kutoka kwenye pochi yako ya Paxful.

Kupitia zaidi ya njia za malipo 300 zinazopatikana, kununua Bitcoin mtandaoni kumekuwa rahisi zaidi. Iwe unatumia pesa taslimu na utumaji fedha kwa benki au kadi za zawadi na programu za malipo, unaweza kuteua chaguo unalopendelea zaidi. Ikiwa una njia ya malipo unayopendelea ambayo huioni, tuarifu na tutahakikisha inawezekana.

Uza haraka, kwa usalama, na ulinzi kupitia soko la Bitcoin la mtu kwa mtu kwenye Paxful. Anza sasa!