Tafadhali subiri ili tukutafutie ofa bora zaidi.

Nunua kutoka

Lipa kwa

Bei kwa kila Bitcoin

Jinsi ya Kununua Bitcoin kwa kutumia Apple Pay

Kubadili salio lako la Apple Pay kuwa Bitcoin ni rahisi na salama kwenye Paxful. Likiwa linalindwa na eskro, soko letu la mtu kwa mtu linakuruhusu kufanya biashara na maelfu ya wachuuzi wa Bitcoin duniani kote, siku yoyote ya juma, bila kulipia ada za ziada. Unaweza kununua Bitcoin kwa kutumia Apple Pay kwa hatua chache rahisi:

Kwanza, ingia kwenye akaunti yako ya Paxful au ufungue akaunti mpya kama wewe ni mgeni kwenye jukwaa. Utakapokuwa umeingia kwenye akaunti, bofya Nunua Bitcoin na uweke "Apple Pay" kama njia ya malipo unayopendelea ili kuonyesha ofa zote zinazoendana na mahitaji yako.

Kitu cha kwanza kabisa, tunapendekeza ukague wasifu wa kila muuzaji na kusoma maoni kutoka kwa wanunuzi wa awali ili kupima uhalali wao.

Unapoona ofa nzuri kutoka kwa mchuuzi anayeaminika, bofya Nunua ili kusoma vigezo vyao vya ofa. Kila mchuuzi ana masharti tofauti lakini wengi watahitaji utume nakala ya kidijitali ya Kitambulisho kilichotolewa na serikali na picha ya skrini inayoonyesha kwamba fedha kamili zinazohitajika tayari zimewekwa kwenye Apple Pay.

Ikiwa utakubaliana na vigezo, bofya Kubali Vigezo na Nunua Bitcoin Sasa! ili kuanzisha gumzo la moja kwa moja na muuzaji. Tuma malipo pale tu mchuuzi atakapokuambia kufanya hivyo na ubofye kwa haraka kitufe cha Tia Alama kuwa Imelipwa baada ya kutuma fedha kutoka kwenye akaunti yako ya Apple Pay. Pindi mchuuzi atakapothibitisha muamala, ataachilia BTC kwenda kwenye Pochi yako ya Paxful ya Bitcoin.

Tayari umekamilisha, umenunua BTC kwa kutumia Apple Pay! Sasa unaweza kuitumia kulipia huduma, kuagiza bidhaa, au kutumia kwa makusudi ya biashara. Kwa maswali, maoni, au wasiwasi kuhusu jukwaa letu, bofya kitufe cha Wasiliana Nasi ili kuwasiliana na timu yetu ya usaidizi wa wateja.