Kioski cha Paxful

Mfumo wetu imara wa ubadilishanaji unowezesha shughuli zako za kidijitali

Paxful ni soko linaloongoza la mtu kwa mtu linalowezesha uhuru wa kifedha katika kona zote za dunia. Kioski chetu kinaendeleza uhuru huu kwa ubadilishaji wa sarafu za kidijitali ili kuwasaidia wateja wake kufadhili akaunti zao kwa Bitcoin. Kipi zaidi? Unapata mapato ya ushirikishi kiotomatiki kwa manunuzi yote yanayofanywa na wateja wapya unaowaleta kwa Paxful, milele.

Hatua 3 tu rahisi

  • 1. Unda kioski chako pepe cha Bitcoin

  • 2. Kianzishe kwenye tovuti au kituo chako

  • 3. Kusanya kodi ya hiari ya 2% kwa kila mauzo

Unda Kioski chako cha Paxful na uinue biashara yako leo!

Kwa kujiunga unakubaliana na Vigezo vya Huduma vya Paxful, Vigezo vya Huduma vya Programu Shirikishi, na notisi ya Faragha

Imetumiwa na majina makubwa zaidi kwenye biashara ya sarafufichwa

Kupitia suluhisho letu bunifu, ni haraka na rahisi sana kuwajumuisha watumiaji wapya na kuwawezesha kuanza kutumia Bitcoin. Baadhi ya majina makubwa kwenye Biashara tayari yanatumia kioski chetu na hata wewe unapaswa kufanya hivyo pia!

Bitmart

Ushirika wetu na Bitmart sasa unawawezesha watumiaji kununua na kuuza sarafu za kidijitali kwa kutumia Kioski cha Paxful cha Bitcoin

Marupurupu ya kutumia Kioski cha Paxful cha Bitcoin

Marupurupu ya kutumia Kioski cha Paxful cha Bitcoin

Kufungua kwa haraka na rahisi kubadili vile upandavyo

Unaweza kubadili kioski chako vile upendavyo kwa kiasi kilichowekwa, njia za malipo, n.k, na pia mabadiliko ya mapambo kama vile rangi na uchoraji chapa.

Hakuna malipo rejeshwa

Kama mchuuzi hauna hatari ya malipo rejeshwa maana malipo ya wateja wako yanachakatwa kupitia soko letu la mtu kwa mtu.

Usaidizi kwa wasanidi

Tunatoa ubadilishaji mwingi wa kiwango cha juu wa wijeti kwa tovuti na programu. Fuatilia zaidi katika hati zetu za msanidi.

Zaidi ya njia 300 za malipo

Wateja wako wanaweza kutumia moja kati ya njia za malipo 350+ ili kuweka pesa kwenye akaunti zao za Bitcoin bila malipo rejeshwa.

Uelekezaji wa mwingiiano na msikilizaji

Je, wewe ni mtu wa vitendo zaidi? Tunaelewa. Na tumekushughulikia! Huu hapa ni uelekezaji wa mwingiliano na msikilizaji tuliouunda ili kukusaidia kuelewa jinsi Paxful inavyofanya kazi. Hii itakuwezesha kuelewa haraka.

Angalia utekelezaji wake
Uelekezaji wa mwingiiano na msikilizaji Uelekezaji wa mwingiiano na msikilizaji
Uelekezaji wa mwingiiano na msikilizaji Uelekezaji wa mwingiiano na msikilizaji

Zaidi ya fiat 300 on-ramps zinapatikana

Wateja wako wanaweza kutumia moja ya machaguo 350+ ya malipo ambayo yanakubalika. Bitcoin inawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako kutoka kwenye eneo la ubadilishaji au jukwaa.

Utumaji fedha kwa njia ya Benki

Paxful inakubali mitandao yote ya benki ya kimataifa. Uhamisho wa benki mara nyingi ni wa ndani, na uwekaji hufanyika ndani ya siku moja.

Pochi za mtandaoni

Watumiaji wako wanaweza kulipa kupitia moja ya pochi maarufu za kidijitali za Bitcoin zao.

Kadi za Zawadi

Njia maarufu zaidi, ya haraka na rahisi ya kulipia kwa watumiaji duniani kote, ili kuwawezesha kupata Bitcoin.

Malipo ya pesa taslimu

Kubali uwekaji wa pesa za ndani papo hapo duniani kote kupitia njia ya pesa taslimu ya Paxful ya p2p. Ni bora kwa wasio na benki.

Kadi za Malipo/Mkopo

Njia rahisi, salama na isiyo na usumbufu kwa watumiaji kununua Bitcoin mtandaoni.

Sarafu za kidijitali

Watumiaji wanaweza kubadili kwa urahisi pasipo usumbufu shehena yao ya sarafufichwa zingine maarufu kwa Bitcoin.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Bado hujaelewa? Haya hapa ni maswali yaliyoulizwa zaidi na watumiaji wengine wa Kioski kabla yako, na majibu yetu, ili kukusaidia kuelewa zaidi.

Ndiyo. Kioski ya Paxful ni suluhisho sahihi kwa ajili yako. Kwa kuweka Kioski chetu kwenye ubadilishaji wako wa fedha, unafikisha kwa urahisi na haraka sarafu pesa kwa mteremko kwa wateja wako.

Fungua akaunti kwenye Paxful.com, kisha jaza fomu ya taasisi ya Kumfahamu Mteja Wako (KYC)

Bitcoin za mteja wako zinaweza kutumwa kwenda kwenye pochi ya makusudi mengi pamoja inayomilikiwa nawe au anwani zao za kipekee za pochi kwenye jukwaa.

Ndiyo, unaweza kuweka mipangilio unayopenda ya rangi na uongeze chapa yako mwenyewe juu yake.

Kioski kinaruhusu ufikie sarafu na njia zote za malipo zinazokubaliwa kwenye Paxful

Ndiyo, unaweza kuweka Kioski yenye ofa zako mwenyewe.

Hatari ya malipo rejesha inabebwa na wauzaji kwenye jukwaa la Paxful. Pindi Bitcoin za mteja wako zitakapotumwa kwako, hakuna hatari ya malipo rejeshwa kwa biashara yako.

Tuna wafanyakazi wengi waliofunzwa vizuri ambao ni zaidi ya watu 100 imara. Wanapatanisha na kusuluhisha mashtaka wakati wote.

Ni mchakato rahisi wa hatua 3 na utaweza kuwa na kioski kinachofanya kazi ndani ya dakika chache.

Ni salama kama ilivyo kwa kuchuuza kwenye Paxful.

Dashbodi ya Kioski kwenye akaunti yako ya Paxful itakupatia maelezo yote na takwimu za kila kioski chako na mapato yake.

Mapato yako yanalipwa kwa njia ya Bitcoin baada ya kila muamala wa manunuzi, moja kwa moja kwenda kwenye pochi yako ya Paxful.

Hapana, wateja wako hawataweza kamwe kuondoka kwenye tovuti yako. Wanaweza kununua Bitcoin zao ndani ya tovuti yako.

Tuna mfumo rahisi unaoweza kubadilishwa kulingana na programu ya mshirika mwingine ya Jumio. Watumiaji wanaofanyiwa KYC wanahitaji Kitambulisho, picha ya kujipiga, na POA. Kuna mipangilio yenye madaraja kutokana na wingi na jiografia ambayo inawahitaji watumiaji wafanyiwe KYC.

Wateja wako wataweza kutumia yoyote kati ya zaidi ya njia 300 za malipo ambazo zinakubaliwa na Paxful. Tunaendelea kuongeza njia mpya za malipo kwenye orodha hii.

Njia kuu zaidi za malipo zinajumisha utumaji fedha kupitia benki za nchi, Paypal, SEPA, Kadi ya Mkopo, Western Union, Alipay, na Vanilla Card.

Kioski inatumika kwenye ukurasa wako wa tovuti, blogu, vituo vya YouTube na kadhalika.

Ndiyo, tunaweza kufanya kazi na timu yetu ya mauzo kutafuta njia tofauti za kutangaza mahusiano mapya.

Kioski inakubalika kwa wateja wote duniani kote nje ya nchi za OFAC, kama vile jukwaa letu kuu linavyofanya. Tuna idadi imara zaidi za watumiaji katika kila nchi husika na sarafu za kitaifa.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Je, uko tayari kwa kioski chako mwenyewe cha Bitcoin? Je, uko tayari kwa kioski chako mwenyewe cha Bitcoin?

Je, uko tayari kwa kioski chako mwenyewe cha Bitcoin?

Kufungua Kioski yako ya Paxful ya Bitcoin ni rahisi na haraka. Unda akaunti, kipatie kioski chako jina, na utakuwa tayari kuanza kulenga juu. Anza sasa!

Fungua Akaunti