Karibu kwenye Pesa Inayowezeshwa na Watu

Paxful inabadili ulimwengu wa fedha. Ndani ya miaka mitano tu, tumekuwa moja ya masoko yanayoongoza ya mtu kwa mtu ya bitcoin tukitumiwa na mamilioni ya watu duniani kote. Na ndiyo kwanza tunaanza.

Nunua na uuze Bitcoin na Tether kwenye Paxful

Bidhaa Yetu

Paxful inabadili jinsi dunia inavyohamisha fedha na inaendekeza sarafufichwa - ikiruhusu utumaji kwa kila mtu, popote, wakati wowote.

Huna akaunti ya benki? Hakuna tatizo. Tuna zaidi ya njia 300 za malipo unazoweza kuchagua, na kuifanya iwe rahisi kwako kuhamisha fedha zako jinsi unavyotaka.

Teknolojia Inayowezeshwa na Watu

Paxful inafanya kazi katika mtindo wa mtu kwa mtu, ikimaanisha kwamba watumiaji wetu wanachuuza na watu halisi—jinsi bitcoin ilivyokusudiwa kutumika.

Pochi ya Sarafufichwa Bila Malipo

Unaweza kuitegemea, ni rahisi-kutumia na haigharimu chochote. Pochi yetu ya kidijitali inampa kila mtu mahali salama pa kuhifadhi utajiri wake — haijalishi wewe ni nani au unatoka wapi.

Yenye Ulinzi

Usalama na ulinzi ni vitu muhimu zaidi unaposhughulikia pesa zako. Biashara zote kwenye Paxful zimelindwa na huduma yetu ya eskro salama ili kuondoa wasiwasi.

Taarifa za Mawasiliano za Kibiashara

Ikiwa una tatizo linalohitaji usaidizi au unataka kutoa maoni kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha bidhaa zetu, tungependa kusikia zaidi kuhusiana na hilo . Hata hivyo, kama unataka kuwasiliana na Paxful kuhusu mambo mengine yanayohusiana na biashara, tunapatikana pia kupitia njia nyingine za mawasiliano.

Habari na Mauzo

Saidia kusambaza neno kuhusu Paxful katika vyombo vya habari na njia zingine za matangazo. Wasiliana nasi kwa maulizo ya habari kupitia [email protected].‎

Zawadi ya Kuripoti Hitilafu

Programu ya Utambuzi wa Kasoro inakupa fursa ya kupata zawadi ya kutambua matatizo ya kiufundi. Toa taarifa kupitia [email protected]. Kwa maelezo zaidi bofya hapa.‎

Akaunti za Biashara

Ili kusajili akaunti ya biashara kwa ajili ya biashara za uchuuzi kwenye Paxful, unaweza kutuma barua pepe kwa [email protected]. Kwa maelezo zaidi bofya hapa.‎

Mauzo na Ubia

Ili kuulizia kuhusu kuwa mshirika. Tufahamishe ikiwa unataka kuwa mshirika nasi kwa kututumia barua pepe kwa [email protected].‎

Jiunge na Paxful
Tujenge kesho yetu pamoja
Jiunge Nasi

Unda akaunti yako mwenyewe ya Paxful na uchukue hatua kwenye dunia ya sarafufichwa.